Search

8 results for Yuvenal Theophil :

  1. Mashine feki za bahati nasibu zateketezwa Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro kwa kushirikiana na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, wamekamata na kuteketeza mashine 12 kati ya 35 zilizoingia nchini bila kufuata taratibu na sheria.

  2. Askofu Gwajima ashukiwa kwa kupinga chanjo

    Viongozi wa dini na wanasiasa wamemkosoa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa kauli yake ya kupinga matumizi ya chanjo za maambukizi ya Covid 19, huku CCM ikionya tabia ya...

  3. Tozo ya miamala yatesa mawakala

    Wakati wananchi wakilazimika kutafuta njia mpya isiyo na gharama kubwa kutuma na kutoa fedha, mawakala wa huduma za fedha kupitia simu za mkononi wamelalamika kukosa wateja, hivyo kuathirika...

  4. DC Mwaipaya aanika vipaumbele vyake

    Mkuu wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Abdallah Mwaipaya amesema moja ya vipaumbele vyake ni kusimamia mapato ya halmashauri hiyo kwa kushirikiana viongozi wa ngazi zote lengo likiwa ni...

  5. Meya manispaa ya Moshi aanika vipaumbele vyake

    Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Juma Raibu amesema kwa kushirikiana na baraza la madiwani atahakikisha vipaumbele vilivyowekwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM vinatekelezwa...

  6. Walimu kizimbani tuhuma za udanganyifu wa mtihani

    Walimu watano wa shule ya msingi Siashimbwe wamefikishwa mahakamani mjini Moshi wakituhumiwa kufanya udanganyifu katika mtihani wa taifa wa darasa la saba uliofanyika Oktoba, 2020.

  7. Shule zafunguliwa, changamoto kibao

    Wakati shule zikifunguliwa jana, mrundikano wa wanafunzi umeonekana kuwa changamoto kubwa kwa shule za msingi huku baadhi ya wazazi wakishindwa kuwaandikisha watoto wao kutokana na kukosa vyeti...

  8. Mei mosi ilivyoadhimishwa mikoa mbalimbali

    Wakati Rais John Magufuli akisisitiza ahadi yake ya kupandisha mishahara ya wafanyakazi kuwa ataitekeleza kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi, mikoa mbalimbali nchini ahadi ‘hewa’ kwa...